Kime’en

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kime'en ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wame'en. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kime'en imehesabiwa kuwa watu 151,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kime'en iko katika kundi la Kisurmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kime’en kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.