Nenda kwa yaliyomo

Kimbwela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbwela ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wambwela. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimbwela imehesabiwa kuwa watu 222,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbwela iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbwela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.