Kimbunga (lugha)
Mandhari
Kimbunga (au Kigangi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wambunga. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimbunga imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbunga iko katika kundi la P10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimbunga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbunga Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimbunga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mgy
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kimbunga)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbunga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |