Kimbre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbre ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wambre. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbre imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Wambre wengi wameanza kutumia lugha ya Kikoro badala ya lugha yao ya Kimbre. Uainishaji wa lugha ya Kimbre kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbre kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.