Kimbesa (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimbesa ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wambesa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimbesa imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbesa iko katika kundi la C60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbesa (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.