Kimbati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbati ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wambati. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kimbati imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbati iko katika kundi la C20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.