Kimbara (Chad)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbara ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wambara. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kimbara imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbara iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbara (Chad) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.