Kimbara (Australia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wambara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimbara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbara kiko katika kundi lake lenyewe la Kimbara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbara (Australia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.