Kimbangala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbangala ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wambangala. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbangala imehesabiwa kuwa watu 22,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbangala iko katika kundi la H30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbangala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.