Kimayawali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimayawali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayawali katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimayawali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayawali kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimayawali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.