Kimayaguduna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimayaguduna (au Kimayi-Kutuna) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayaguduna katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimayaguduna, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayaguduna kiko katika kundi la Kimayabiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimayaguduna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.