Kimatu
Mandhari

Vimatu, matumatu au maige ni wana au tunutu wa panzi. Wanafanana na panzi wapevu lakini ni wadogo zaidi na mabawa yao hayajakomaa.
| Makala hii kuhusu "Kimatu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |