Kimasmaje
Mandhari
Kimasmaje ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamasmaje. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimasmaje imehesabiwa kuwa watu 25,727. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasmaje iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimasmaje kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimasmaje Ilihifadhiwa 2 Juni 2011 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimasmaje katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mes
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimasmaje kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |