Kimasela-Mashariki
Mandhari
Kimasela-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasela kwenye kisiwa cha Masela. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kimasela-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 520 tu, na idadi imeendelea kupungua, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasela-Mashariki iko katika kundi la Kibabar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimasela-Mashariki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimasela-Mashariki
- lugha ya Kimasela-Mashariki katika Glottolog
- lugha ya Kimasela-Mashariki kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimasela-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |