Kimasela-Magharibi
Mandhari
Kimasela-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasela kwenye kisiwa cha Masela. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimasela-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 850 tu. Lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasela-Magharibi iko katika kundi la Kibabar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimasela-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimasela-Magharibi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimasela-Magharibi katika Glottolog
- lugha ya Kimasela-Magharibi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimasela-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |