Kimartuyhunira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimartuyhunira (au Kimartuthunira) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wamartuyhunira katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimartuyhunira watano tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimartuyhunira kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimartuyhunira kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.