Kimarovo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimarovo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wamarovo kwenye visiwa vya Georgia Mpya, Vangunu na Nggatokae. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimarovo imehesabiwa kuwa watu 8090. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarovo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarovo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.