Kimarba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimarba (pia Kiazumeina) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamarba. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimarba imehesabiwa kuwa watu 148,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarba iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.