Kimarau
Mandhari
Kimarau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamarau kwenye kisiwa cha Serui. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimarau imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarau iko katika kundi la Kiyapen.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimarau kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimarau Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimarau katika Glottolog
- lugha ya Kimarau kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimarau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |