Kimaonan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimaonan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wamaonan. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kimaonan imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kwa vile kuna Wamaonan 107,000, maana wengi hawawezi kuongea Kimaonan, lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimaonan iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaonan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.