Kimanta
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimanta (lugha))
Kimanta ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamanta. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimanta imehesabiwa kuwa watu 5300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanta iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimanta kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimanta Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimanta katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/myg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |