Kimanggarai
Mandhari
Kimanggarai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamanggarai kwenye kisiwa cha Flores. Idadi ya wasemaji wa Kimanggarai imehesabiwa kuwa watu 900,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanggarai iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimanggarai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimanggarai Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimanggarai katika Glottolog
- lugha ya Kimanggarai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanggarai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |