Kimang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Uchina inayozungumzwa na Wamang. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimang nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 2660. Pia kuna wasemaji 500 nchini Uchina (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimang iko katika kundi lake lenyewe la Kimang.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.