Kimandaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimandaya (pia Kimandaya ya Karaga) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamandaya. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimandaya imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandaya iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimandaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.