Kimamboru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimamboru ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamamboru kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimamboru imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamboru iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimamboru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.