Kimalvi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimalvi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamalvi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalvi imehesabiwa kuwa watu 5,560,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimalvi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalvi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.