Kimali (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimali ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamali. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kimali imehesabiwa kuwa watu 2200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimali iko katika kundi la “East New Britain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimali (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.