Kimaleng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimaleng (pia Kipakatan) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wamaleng. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimaleng nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 500. Pia kuna wasemaji 300 nchini Vietnam (1996). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimaleng iko katika kundi la Kichut.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaleng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.