Kimalagasy cha Sakalava

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimalagasy ya Sakalava ni lugha ya Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalagasy ya Sakalava imehesabiwa kuwa watu 350,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalagasy ya Sakalava iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy cha Sakalava kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.