Kimal
Mandhari
Kimal ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Uthai inayozungumzwa na Wamal. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimal nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 23,200. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Uthai (1982) ambapo huitwa Kit'in. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimal iko katika kundi la Kikhmuiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimal Ilihifadhiwa 11 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimal katika Glottolog
- lugha ya Kimal kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |