Nenda kwa yaliyomo

Kimakasar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimakasar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamakasar kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimakasar imehesabiwa kuwa watu 2,130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimakasar iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakasar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.