Kimailu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimailu ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamailu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimailu imehesabiwa kuwa watu 8500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimailu iko katika kundi lake lenyewe la Kimailuan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimailu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.