Kimahou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimahou ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wamahou. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimahou imehesabiwa kuwa watu 169,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimahou iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimahou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.