Nenda kwa yaliyomo

Kimagar-Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimagar ya Magharibi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wamagar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimagar ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 308,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimagar ya Magharibi iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimagar-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.