Kimachinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimachinga ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamachinga. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimachinga imehesabiwa kuwa watu 36,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimachinga iko katika kundi la P20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimachinga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.