Kima'anyan
Mandhari
Kima'anyan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wama'anyan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kima'anyan imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kima'anyan iko katika kundi la Kibarito.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kima'anyan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kima'anyan Ilihifadhiwa 28 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kima'anyan katika Glottolog
- lugha ya Kima'anyan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kima'anyan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |