Kiluvale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiluvale ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Waluvale. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiluvale imehesabiwa kuwa watu 464,000. Pia kuna wasemaji 168,000 (2006) nchi ya Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluvale iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluvale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.