Kiluo (Kamerun)
Mandhari
Kiluo ni lugha nchini Kamerun iliyozungumzwa na Waluo. Mwaka wa 1995 kulikuwa na mtu mmoja tu aliyeweza kuzungumza Kiluo. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa kwa sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha haijulikani Kiluo kiko katika familia gani ya lugha.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiluo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiluo Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiluo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/luw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiluo (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |