Nenda kwa yaliyomo

Kilumba-Yakkha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilumba-Yakkha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Walumba-Yakkha. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilumba-Yakkha imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilumba-Yakkha iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilumba-Yakkha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.