Kilua'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilua' ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Walua'. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilua' imehesabiwa kuwa watu 6280. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilua' iko katika kundi la Kikhmuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilua' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.