Kilorang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilorang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walorang kwenye kisiwa cha Koba. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kilorang imehesabiwa kuwa watu 220 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilorang iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilorang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.