Kilonzo (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilonzo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walonzo. Idadi ya wasemaji wa Kilonzo imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilonzo iko katika kundi la H30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilonzo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.