Nenda kwa yaliyomo

Kilomwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilomwe ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Walomwe. Isichanganywe na Kilomwe cha Malawi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilomwe imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilomwe iko katika kundi la P30.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilomwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.