Kilola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilola ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walola kwenye visiwa vidogo vitatu upanda wa Mashariki wa kisiwa cha Kobroor. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kilola imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilola iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.