Kilohorung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilohorung (pia Kilorung ya Kaksakazini) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Walohorung. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kilohorung imehesabiwa kuwa watu 3720. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilohorung iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilohorung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.