Kilogo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kilogo (lugha))
Kilogo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walogo. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilogo imehesabiwa kuwa watu 210,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilogo iko katika kundi la Kimoru-Madi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilogo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilogo Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilogo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/log
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilogo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |