Kilobala
Mandhari
Kilobala ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walobala. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilobala imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilobala iko katika kundi la C40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilobala kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilobala Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilobala katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/loq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilobala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |