Kilingao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilingao (au Kiong-Be) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilingao imehesabiwa kuwa watu 600,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilingao iko katika kundi la Kilakkja.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilingao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.