Kilindu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kilindu (pia Kitado) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walindu kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilindu imehesabiwa kuwa watu 2400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilindu iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilindu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.