Kilimilngan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la kihistoria la Kilimilngan (rangi ya kahawia)

Kilimilngan kilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Walimilngan katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kilimilngan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilimilngan kinafanyiza familia ya lugha pamoja na Kiwulna; tena kinahusiana labda na Kiumbugarla na Kilaragiya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilimilngan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.